Sona Body Cream Skin Repairing 250gm sona ya zamani

30,000.00 TZS

Sona Body Cream Skin Repairing 250gm sona ya zamani

30,000.00 TZS
- +
Details
  • Availability: In Stock
Product Description

Ni cream inayong’arisha na kulainisha ngozi.
Huondoa madoa meusi (dark spots), hutibu chunusi, pamoja na ngozi iliyoharibika kutokana na matumizi ya cream kali au kuungua na jua. Inakupa ngozi laini, yenye afya, na inayong’aa kwa asili.
Inafaa kwa ngozi za aina zote na mtu yeyote anayehitaji mwonekano wa kung’aa.

Sona ya Zamani – Hii ndiyo Sona Mama!
Kazi zake hazitofautiani sana na Sona zingine, lakini ina nguvu ya kipekee ya kung’arisha.
Ni ya asili, imetumika kwa miaka mingi, na bado inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa.

A cream that brightens and softens your skin.
It removes dark spots, treats acne, and repairs skin damaged by harsh creams or sunburn—leaving your skin soft, healthy, and naturally radiant.
Perfect for all skin types and anyone seeking a luminous glow.

Sona ya Zamani – This is the Original Sona, the Mother of all Sona creams!
Its effects are similar to the newer Sona variants, but with its own timeless strength and brightening power. Trusted for generations, it still delivers amazing results.

 

Customer Reviews

Recently Viewed