✨ Maalumu kwa ajili ya mtu mwenye rangi ya kati – weusi wa wastani au mweupe kidogo.
Haichubui! Inasoftisha na kulainisha ngozi kwa upole. Pia, hutibu chunusi na ngozi iliyoharibika (dead skin), huku ikikupa muonekano wa kuvutia, safi na wa kuridhisha – bila kubadilisha rangi yako halisi.
✨ Sona No. 2 – Imetengenezwa kwa watu wenye rangi ya maji ya kunde au kati, ambao si weupe sana wala weusi sana. Ikiwa unakumbwa na changamoto za ngozi zisizo kali, Sona No. 2 ni suluhisho lako bora.
Ngozi yako hupata muonekano mzuri, laini, na ladha ya ‘karangi tamu’ inayoakisi afya njema ya ngozi yako.
#JINSI YA KUTUMIA
✨ Specially made for medium to light brown skin tones.
Non-bleaching formula! It gently softens and smoothens the skin while treating acne and damaged skin (dead skin), giving you a clean, elegant, and satisfying look—without changing your natural tone.
✨ Sona No. 2 – Best suited for people with caramel or medium skin tones. Not too fair, not too dark, but still facing mild skin concerns? This is the perfect cream for you.
It enhances your natural beauty, giving you that smooth, healthy “sweet caramel glow.”
#HOW TO USE