SONA #3 namba tatu maalumu kwa kung'arisha na kuleta weupe

30,000.00 TZS

SONA #3 namba tatu maalumu kwa kung'arisha na kuleta weupe

30,000.00 TZS
- +
Details
  • Availability: In Stock
Product Description

 

✨ Maalumu kwa mtu anayehitaji kung'aa na kuwa na weupe!
Sona No. 3 inalainisha na kung’arisha ngozi, inatibu chunusi, huondoa madoa usoni, na kurekebisha ngozi iliyoharibika kwa matumizi ya cream kali au kuungua na jua. Kwa matokeo bora zaidi, tumia pamoja na Sona Beauty Soap.

Sona Namba 3 – Imetengenezwa kwa ajili ya mtu anayependa ngozi ing’ae kwa mvuto wa aina yake. Pia inafaa sana kwa waliopata madhara ya cream, weusi kwenye mapaja, chini ya mikono, na maeneo yenye tatizo la weusi.
Ngozi yako hupata mwonekano safi, wa kung’aa, na wenye afya.

 

 

Customer Reviews

Recently Viewed