SONA FACE & BODY CREAM MADE IN TURKEY

25,000.00 TZS

SONA FACE & BODY CREAM MADE IN TURKEY

25,000.00 TZS
- +
Details
  • Availability: Out stock
Product Description

✨Ni body cream kavu na original kutoka uturuki, Haichubui Ila inakupa rangi moja mwili mzima, inafanya ngozi inakua soft na laini kwa kutibu rashes, inamfaa zaidi mtu kwenye ngozi yenye mafuta.

✨*Sona ya UTURUKI lotion* - hii kama wewe ni mweupe nakushauri tumia hii lotion ya mturuki, japokuwa anapaka mtu ambaye hajatumia tumia macream, hajaidistabu  ngozi yake, wanapaka watu wa rangi zote, wanaume pia wanapaka! *Bei ya rejareja elfu 30

#JINSI YA KUTUMIA

*Paka cream yako Mara baada ya kuoga na kujikausha maji mwilini na usoni asubuhi pamoja na jioni kwa matokeo mazuri zaidi

Customer Reviews

Recently Viewed