SONA #1 Namba Moja Maalumu kwa ngozi nyeusi

25,000.00 TZS

SONA #1 Namba Moja Maalumu kwa ngozi nyeusi

25,000.00 TZS
- +
Details
  • Availability: In Stock
Product Description

 

✨ Haichubui! Inalainisha na kusaidia ngozi kuwa laini, nyororo, na yenye mvuto. Pia, inatibu chunusi, ngozi iliyoharibika (dead skin), na hukupa mwonekano safi, maridadi na wa kuridhisha bila kubadilisha rangi yako halisi.

Sona No. 1 – Imetengenezwa mahsusi kwa watu wenye ngozi nyeusi na nyeupe lakini kwa ngozi isiyo na uwiano mzuri. Ikiwa una chunusi, ngozi chafu, na texture isiyoeleweka, basi hii ndio suluhisho lako. Ngozi yako itang’aa kwa rangi ya chocolate na kuwa na mvuto wa kipekee.

  • Pakaa cream ya Sona kwenye uso na mwili mara baada ya kuoga na kujikausha vizuri.

  • Tumia asubuhi na jioni kwa matokeo bora zaidi.

No peeling! This cream softens and smoothens the skin while effectively treating acne, damaged skin, and removing dead skin cells. It gives you a clean, glowing, and satisfying look — all without changing your natural skin tone.

Sona No. 1 – Especially formulated for dark skin tones that are uneven, acne-prone, rough, or unclear. It corrects skin texture and gives you a radiant chocolate glow with a stunning finish.

 

 

 

 

 

 

Customer Reviews

Recently Viewed