Description
✨ ni sabuni nzuri kutoka uturuki yenye vitamin E inatibu chunusi, harara pamoja na muwasho vilevile inang'arisha na kusoftisha ngozi. Inamatokeo ya haraka na ya kuaminika.
✨*Sona soap ya uturuki* ni sabuni pendwa nzuri kwa magonjwa yote ya ngozi, tena wanaume wanazipendaaa! *Bei ya rejareja elfu 10 hadi elfu 15 inategemea na sehem ulipo
#JINSI YA KUTUMIA
* Oshea uso na kuogea mwilini Mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa matokeo mazuri zaidi