Description
✨Ni serum nzuri yenye Vitamin E inayotibu chunusi, madoa usoni na weusi chini ya macho, inapenya kwenye ngozi kwa haraka,inatoa dead skin na kung'arisha vilevile inarudisha nuru kwenye ngozi iliyofubaa na kutoa sugu za kwenye vidole. Unaweza kuchanganya kwenye mafuta unayopaka mwilini pia.
#JINSI YA KUTUMIA
*Paka serum yako Mara baada ya kuosha uso vizuri na sabuni na kujikausha maji usoni usiku kwa usiku lakini pia na asubuhi Kama hauna mizunguko ya juani.