Description
✨Ni body cream kavu na original kutoka uturuki, Haichubui Ila inakupa rangi moja mwili mzima, inafanya ngozi inakua soft na laini kwa kutibu rashes, inamfaa zaidi mtu kwenye ngozi yenye mafuta.
✨*Sona ya UTURUKI lotion* - hii kama wewe ni mweupe nakushauri tumia hii lotion ya mturuki, japokuwa anapaka mtu ambaye hajatumia tumia macream, hajaidistabu ngozi yake, wanapaka watu wa rangi zote, wanaume pia wanapaka! *Bei ya rejareja elfu 30
#JINSI YA KUTUMIA
*Paka cream yako Mara baada ya kuoga na kujikausha maji mwilini na usoni asubuhi pamoja na jioni kwa matokeo mazuri zaidi