Sona Beauty Soap 70gm Komesha ya chunusi ya weusi kwapani
6,000.00 TZS
Add to Bag- Availability: Out stock
Description
Sona Beauty Soap ๐งผโจ
Sabuni ya Asili kwa Ngozi Yenye Chunusi, Rashes, na Kung'arisha Ngozi
Sona Beauty Soap ni sabuni bora kabisa kwa ngozi yako โ ikisaidia kukausha chunusi, kuondoa rashes, na kuifanya ngozi yako kuwa nyororo, safi na yenye kung'aa. Imetengenezwa kwa mchanganyiko maalum wa viambato vya asili vyenye nguvu ya kutibu matatizo ya ngozi.
๐ Faida:
Husaidia kukausha chunusi haraka
Huondoa vipele, michubuko na rashes
Husaidia ngozi kuwa laini, nyororo na yenye afya
Hutibu magonjwa mbalimbali ya ngozi kwa kutumia kila siku
๐๏ธ Sabuni hii mama imeenea Tanzania nzima โ ย Ni chaguo la wengi kwa sababu inaaminika kutibu ngozi kwa ufanisi.
Jinsi ya Kutumia
Lowesha uso kwa maji safi.
Pakaa povu la sabuni usoni.
Massage kwa sekunde chache kwa upole.
Osha kwa maji ya baridi yanayotiririka.