Description
Item Type: Night CreamGender: FemaleFeature: MoisturizingNET WT: 100g&Model Number: WKL519Ingredient: snailsCountry/Region of Manufacture: ChinaCertification: GZBJZBrand Name: WokaliBasic: snailseffect: Anti-aging
✨Snail repairing cream ni mafuta yanayo softisha ngozi, yanalainisha ngozi kavu na kuipa nuru, yanarudisha ngozi iliyo haribika kwa cream Kali ama kuchomwa na jua.
#yana mchanganyiko wa
-glycerin,avocado oil,vaccinium, pamoja na aqua
#JINSI YA KUTUMIA
* Unapaka usoni na mwilini Mara baada ya kujisafisha na kujikausha maji asubuhi pamoja na jioni.
NOTE: USIPAKE MAFUTA JUU YA NGOZI CHAFU