Kleo beauty brightening and hydraying serum hyalurolic acid + vitamin C & E

25,000.00 TZS
Add to Bag
  • Availability: In Stock

Description

✨Ni serum nzuri Sana yenye mchanganyiko wa hyalurolic acid + vitamin C & E, inaondoa chunusi,mikunjo pamoja na dark sports, vile vile inang'arisha n kuondoa dead skin, inasoftisha na kulainisha ngozi. Unaweza kuchanganya kwenye mafuta unayopaka mwilini #JINSI YA KUTUMIA *unapaka marine matatu usoni Mara baada ya kuosha uso na sabuni vizuri. Utafanya ivyo usiku na asubuhi endapo utakua hauna mizunguko ya kwenye jua.